Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali ya kibinadamu Afghanistan

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Umoja wa Mataifa (UN) unatazamia kukusanya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 600 kusaidia Afghanistan, ikionya nchi hiyo inakabiliwa na janga kubwa la kibinadamu.

Kwa mujibu wa UN, Raia wanahitaji Chakula, Dawa, Huduma za Afya pamoja na Maji safi na salama. Imeelezwa hata kabla ya Taliban, zaidi ya watu 500,000 walilazimika kukimbia makazi yao mwaka huu kutokana na mapigano.

Umoja wa Mataifa umesema wasiwasi kuhusu Haki za Wanawake na Wasichana Nchini Afghanistan unaongezeka.

=====

The United Nations is seeking to raise more than $600m (£434m) in aid for Afghanistan, warning the country is facing a major humanitarian crisis.

The organisation will hold a conference in Geneva on Monday where it will call for international support following the Taliban takeover last month.

"Afghans urgently need food, medicine, health services, safe water [and] sanitation" the UN said.

It added that the $600m target would bring "vital relief" to millions.

"The country faces an extremely dire situation and is confronted with protracted conflict, severe drought and the Covid-19 pandemic in a context where... almost half of the population were already in need of aid," a UN statement said.

"Recent developments have increased their vulnerability," it added. "The economy is grinding to a halt with cash in short supply. Concern for the rights of women and girls is rising."

"Swift action and support from the international community is vital," the UN said. It appealed to the Taliban to give aid workers unimpeded access.

Even before the Islamist militants retook control of Afghanistan in August, more than 550,000 people had been forced to flee their homes this year due to fighting.

That means an estimated 3.5 million people are currently internally displaced within the country. Afghans have also had to deal with a severe drought as well as food shortages.

Source: BBC
 
Sijui kama hawa wahindi wa Afghanistan wanatuhusu au kupaswa kutuhangaisha. Kwani wao hujali shida zetu? Waende kwa waarabu wawasaidie badala ya kulikia fedha za 'makafiri'
 
Tatizo ni hao makafiri, wawaache tu wahindi waendeshe nchi yao hawahitaji misaada.

Makafiri waje watusaidie sisi waafrika, hatuwezi kuishi bila wao
 
Yani hawa UN majanga kwao ndio mtaji wapige hela , wawaache tu kwani hao Twaliban sio binadamu? si watu na wana akili wawaache wafanya mambo yao ubinadamu upi wanaouzungumzia
 
Hii mizungu akili zao inawaza kuowana tuuu
Wanaume kwa wanaume, utamaduni huo pelekeni kwenu waacheni wenyewe wayajenge kwenye inchi yao
 
Back
Top Bottom