Umoja wa Mataifa: Watu 9 kati ya 10 huvuta hewa chafu

Umoja wa Mataifa: Watu 9 kati ya 10 huvuta hewa chafu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Guterres amesema hewa chafu inasababisha vifo ambavyo vingeweza kuzuilika milioni 7 kila mwaka. Ameandika katika kila watu kumi watu tisa huvuta hewa chafu. Bila kuchukua hatua idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa zaidi kufikia 2050. Ili kuwalinda watu na mazingira ameshauri kutunza hewa ikiwa ni siku ya dunia ya Hewa Safi

======

92% of our world is exposed to polluted air causing an estimated 7 million premature deaths every year.

Air pollution is an environmental risk to human health.

It has detrimental impacts on climate, biodiversity and ecosystems.

In fact, environmental health is linked to human health.

Improving our air quality will bring health, development and environmental benefits.

This International Day of Clean Air for blue skies, we call upon everyone, governments and corporations to civil society and individuals.

Take action to reduce air pollution and bring a transformative change in our lifestyles.

Zaidi >>> Clean Air Blue Skies
 
Njoo kariakoo uone wadada wa usafi wanafyotifua vumbi mchana kweupeeee
Ndio utajua kuwa un hamna mujualo
 
Back
Top Bottom