Umoja wa Nchi za Afrika (AU) umepinga kuiingilia Niger kijeshi mpango ambao ECOWAS uliuwakilisha kwenye kikao hicho

Umoja wa Nchi za Afrika (AU) umepinga kuiingilia Niger kijeshi mpango ambao ECOWAS uliuwakilisha kwenye kikao hicho

Umoja wa Afrika umekataa mpango ya ECOWAS wa kuingilia kijeshi nchi ya Niger, na hivyo kuonyesha kutokubaliana na msimamo wa ECOWAS, kama ilivyoripotiwa na Le Monde.

Kwa mujibu wa chapisho hilo, wakati wa mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika tarehe 14 Agosti, iliamuliwa kutupilia mbali matumizi ya nguvu dhidi ya waasi nchini Niger.

Msimamo huu unatarajiwa kuthibitishwa rasmi katika taarifa inayokuja, kama ilivyoelezwa na Le Monde. "Kwa hivyo Umoja wa Afrika unaonyesha kutokubaliana kwake na ECOWAS, ambayo, inaona mazungumzo ya amani kuwa kipaumbele.

=====

African Union and ECOWAS at odds over intervention in Niger on eve of summit

A day ahead of a meeting of West African military chiefs to hammer out what a military intervention in Niger might look like, the African Union and the Economic Community of West African States (ECOWAS) appeared at odds over whether military action should be on the table.

France 24
Nashsuri ECOWAS wajitenge na AU kisha na sisi huku tujitenge nayo maana African Union haina ridhaa ya raia wa Afrika katika kuanzishwa kwake
 
Moderater nao wanaumia jinsi mambo yanaenda kombo huko kwenye countersuicide ya ukro nazi
Hahaah 😂😂😂😂 sio powa. Ndomana basi maana hali iazidi kutisha kila siku. Ndomana watu wanaukimbia uzi wananzisha nyuzi zao kujifariji na vita 😂😂😂😂
 
Hahaah 😂😂😂😂 sio powa. Ndomana basi maana hali iazidi kutisha kila siku. Ndomana watu wanaukimbia uzi wananzisha nyuzi zao kujifariji na vita 😂😂😂😂
Kule wapo Alina Mohamed idrisa na wenzie akina mathanzua nk hawapoi hawaboi. Ni nondo juu ya nondo
 
Weka link nikausome
 
Wezungu, wajanja sana wameona ndugu zao Ukraine wanawangamuza Kwa kiwatia kafara, baada ya kutafakari wameona kuna opportunity ya kuamisha uwanja wa mchezo Ili ndugu zao wasiumie. Afrika ndio sehemu iliyozoeleka kama sehemu ya majaribio na kuchota mali. Bw Putin na Biden Hawa wote hakuna anayeipenda saaana Afrika

Wanarudi Kwa mgongo wa ECOWAS, Afrika iamke.
Akili ya muafrika unazidiwa hata na ya panya aise
 
Back
Top Bottom