Umoja wa Nchi za Afrika (AU) umepinga kuiingilia Niger kijeshi mpango ambao ECOWAS uliuwakilisha kwenye kikao hicho

Nashsuri ECOWAS wajitenge na AU kisha na sisi huku tujitenge nayo maana African Union haina ridhaa ya raia wa Afrika katika kuanzishwa kwake
 
Moderater nao wanaumia jinsi mambo yanaenda kombo huko kwenye countersuicide ya ukro nazi
Hahaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio powa. Ndomana basi maana hali iazidi kutisha kila siku. Ndomana watu wanaukimbia uzi wananzisha nyuzi zao kujifariji na vita πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio powa. Ndomana basi maana hali iazidi kutisha kila siku. Ndomana watu wanaukimbia uzi wananzisha nyuzi zao kujifariji na vita πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kule wapo Alina Mohamed idrisa na wenzie akina mathanzua nk hawapoi hawaboi. Ni nondo juu ya nondo
 
Weka link nikausome
 
Akili ya muafrika unazidiwa hata na ya panya aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…