Umoja wa Tuliopigwa Ban (UTB) Special Thread

Dah! Mkuu hili wazo umelitoa wapi?
Anyway. Ila wakija wajamaa wa kazi wataufuta faster
 
Burn zina umuhimu. Hamuoni zilivyompoozesha yule bibi fox
 
Nshawah kula ban kipind cha uchaguzi ikabd ninunue smu nyingne kabsa
 
Kama unatumia jf app utaona akuna hata post moja unayoiyona na kwenye avatar yako utakuta wamebadilisha na kukuwekea hii[emoji116]
Kama unatumia browser utakutana na ujumbe unakupa taarifa kwamba uko banned na kosa ulilofanya.
je nikipigwa ban naweza fungua acc nyingine ya jf nikaendelea na maisha ???
 
Kuwa mtoto raha sana..

Kila mara unawaza ujinga na unaona sawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…