Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unatumia jf app utaona akuna hata post moja unayoiyona na kwenye avatar yako utakuta wamebadilisha na kukuwekea hii[emoji116]Hivi ntajuaje kama ndo nishapigwa ban?
je nikipigwa ban naweza fungua acc nyingine ya jf nikaendelea na maisha ???Kama unatumia jf app utaona akuna hata post moja unayoiyona na kwenye avatar yako utakuta wamebadilisha na kukuwekea hii[emoji116]![]()
Kama unatumia browser utakutana na ujumbe unakupa taarifa kwamba uko banned na kosa ulilofanya.
Ndio unaweza.je nikipigwa ban naweza fungua acc nyingine ya jf nikaendelea na maisha ???
Mbn nimetukana zinakuja nyotanyota****** wewe
Nasubiri mkuu