Umoja wa Ulaya (EU) wagawanyika mafungu matatu juu ya vikwazo vya mafuta na gesi ya Russia

Umoja wa Ulaya (EU) wagawanyika mafungu matatu juu ya vikwazo vya mafuta na gesi ya Russia

Marekani kazoea kuziwekea vikwazo nchi nyingi na amekua anapata support kutoka kwa wenzie cause hua haziathiriki sana, sasa hivi mziki mnene hu, Urusi katawala Ulaya kibiashara; nina hakika baada ya hu mgogoro kuisha, uhusiano wa USA na mataifa ya rafiki ya Ulaya lazima utatetereka tu; mnakumbuka lile SAGA la USA na Iran? Iran alikua kaweka order ya kununua ndege zinazo tengenezwa moja kati ya nchi za Ulaya but vipuri vya ndege hizo vinatoka USA, baada ya vikwazo Iran akawauliza wateja wake, should we continue with the deal or not? Mwisho biashara ile ikafa, imagine yule mtengenezaji alijisikiaje? Haya sasa, kuna hili tena....! Maisha acha yaendelee tu
 
Back
Top Bottom