Anawadanganya majuha wake huku chini anaomba mikopo na misaada.
Sijui wanafeli wapi umoja wa ulaya, huku hakuna corona.Umoja wa Ulaya hawafahamu kuwa Rais wetu jembe kutoka Chato ameikemea corona na ikakimbia?
Mwanasiasa mtu wa kumuogopa sana, anapenda watu wawe wajinga nyakati zote, anaweza kuwadanganya watu , misaada mibaya huku anaiomba mafichoni, na anaipokea
Wazikatae izo fedha za mabeberu Tz hakuna COVID-19
Tuangalie Kama atazikataaUmoja wa Ulaya hawafahamu kuwa Rais wetu jembe kutoka Chato ameikemea corona na ikakimbia?
Tusikubali huo msaada kutoka kwa mabeberu, hela zao zitakuwa za moto sana siku wakitukosoa tunavyowakandamiza wapinzani
Tutakula ubwabwa mpaka siku za mwisho za uhai wetue😎😎Walete huo mtonyo, halafu wamkute raisi ni Hashim Rungwe 😂😂...mbona mtakimbia nchi.