Umoja wa Ulaya kutoa Bilioni 70 kusaidia Mapambano Ya COVID19 -Tanzania

Walete huo mtonyo, halafu wamkute raisi ni Hashim Rungwe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...mbona mtakimbia nchi.
 
wamejipendekeza wenyewe walete tu sisi hatuna corona wakileta tunatumia kama kawaida.
 
Kwahiyo wakitoa namna hiyo hatuwaiiti mabeberu au imekaaje ndugu zangu wa CCM
 
Tuta
Walete huo mtonyo, halafu wamkute raisi ni Hashim Rungwe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...mbona mtakimbia nchi.
Tutakula ubwabwa mpaka siku za mwisho za uhai wetue๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ