ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Kwa wale wanaotamani China au Russia ndiyo atakuwa superpower wanajidanganya.
Huu hapa ndiyo ukweli. The next super power atakuwa UMOJA WA ULAYA yaani European Union. Maandalizi YOTE Yako tayari.
Tayari sarafu ya hiyo empire ipo kazini (euro), Tayari soko la UMOJA huo lipo ( euro zone), Tayari passport Moja ipo tayari, Tayari mamlaka ipo ( Brussels), Tayari bunge lipo, Tayari misaada ya European union ipo, Zimebaki hatuwa chache sana ili hii mamlaka ianze kufanya kazi kikamilifu.
Mwenye macho na aone. Kama wewe unafuatilia sana mambo ya Dunia, utaona kabisa hii zone Ina uchumi imara sana tofauti na china au Russia.
Namaanisha uchumi imara sio mkubwa. Kuna utofauti kati ya uchumi imara na uchumi mkubwa.