Umoja wa Ulaya utasusia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi 6. Urusi yawakebehi kwa kusema wataendelea kuyanunua kupitia nchi nyingine kwa bei juu!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Nchi zinazounda umoja wa ulaya (EU) zimekubaliana kususia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi sita. Lakini zimeziruhusu nchi mbili za Hungary na Slovakia ziendelee kununua mafuta ya urusi maana zenyewe zilisema ""piga ua hawawezi kuachana na mafuta ya Urusi". Lakini nchi ya Urusi imezikebehi nchi hizo kuwa zitaendelea kununua mafuta ya urusi kupitia nchi ya tatu (nchi ya kati), ila kwa bei kubwa zaidi.

Europe will buy oil via third countries: Russian official​

Europe will continue buying Russian oil via third countries once EU countries introduce an embargo, a Russian official predicts.

Senior MP Vladimir Dzhabarov told the state-run RIA Novosti news agency Europe's leaders "have gone a little crazy".

"They say we won’t buy oil from us. Well, don’t buy it, we don’t push it to you,” he said.

"You will still buy it, only through third countries. Our oil is the same, only more expensive."

The European Union's chief executive has proposed a phased oil embargo on Russia, as well as sanctioning Russia's top bank and banning Russian broadcasters from European airwaves.
 
Wameweka vikwazo zaidi ya 5000,Urusi kusema tu mafuta na gas wanunue kwa ruble, bei ya mafuta imepanda na hapo hajaweka vikwazo vya kuzuia kuuza mafuta.Kuna ndugu zangu wanatamba humu "......vikwazo vya Urusi haviumizi.......",hauhitaji kuwa genius kujua kwamba vikwazo vya Urusi vinaumiza au laa kwani mpaka hivi sasa bei ya mafuta Tanzania ishagonga 3100+ per litre.

Leo Urusi anaandaa vikwazo vyingine kwa nchi ambazo ni maadui, sasa tujiandae tena hii ngoma itagota huko 4000+ per litre.

Tena wenzetu ulaya uchumi wao wa viwanda na hata moja source zao za nishati ni gas, hawana neema kama zetu Afrika sasa jiulize watakuwa na hali gani na kwa hali ya kutumishiana misuli kati ya Urus na EU & NATO mwakani mafuta yatafikia 5000+ per litre na Ulaya itapumulia mashine kwani tu kabla ya sekeseke hili, Korona ili haribu uchumi wao kwa kiasi kikubwa na sasa hili la mafuta gasi.
 
wafanyeje? wacha wafanye wanacho kiweza... Rais amesema bei huko marekani ni kubwa, kumbe sababu ipo hapa...?
 
Nchi za ulaya walijifanya kususia gesi ya urusi wakajikuta wanalazimika kuinunua kupitia nchi ya btatu (Ujerumani) lakini kwa bei kubwa zaidi!! Halafu wanawaongopea wananchi wao kuwa Putin ndiyo amesababisha gesi kupanda bei!!
 
Nchi zinazounda umoja wa ulaya (EU) zimekubaliana kususia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi sita. Lakini zimeziruhusu nchi mbili za Hungary na Slovakia ziendelee kununua mafuta ya urusi maana zenyewe zilisema ""piga ua hawawezi kuachana na mafuta ya Urusi". Lakini nchi ya Urusi imezikebehi nchi hizo kuwa zitaendelea kununua mafuta ya urusi kupitia nchi ya tatu (nchi ya kati), ila kwa bei kubwa zaidi.

Europe will buy oil via third countries: Russian official​

Europe will continue buying Russian oil via third countries once EU countries introduce an embargo, a Russian official predicts.

Senior MP Vladimir Dzhabarov told the state-run RIA Novosti news agency Europe's leaders "have gone a little crazy".

"They say we won’t buy oil from us. Well, don’t buy it, we don’t push it to you,” he said.

"You will still buy it, only through third countries. Our oil is the same, only more expensive."

The European Union's chief executive has proposed a phased oil embargo on Russia, as well as sanctioning Russia's top bank and banning Russian broadcasters from European airwaves.
Wanaweka vikwazo wao wanalia wao hawaeleweki hawa kenge, Putin endelea kuwatwanga
 
Nchi za ulaya walijifanya kususia gesi ya urusi wakajikuta wanalazimika kuinunua kupitia nchi ya btatu (Ujerumani) lakini kwa bei kubwa zaidi!! Halafu wanawaongopea wananchi wao kuwa Putin ndiyo amesababisha gesi kupanda bei!!
Kwa hiyo na Tanzania tunanunua Kwa bei kubwa Kwa sababu tunanunua kupitia nchi ya tatu.
 
Hii ni story tu na kujitutumua kuona labda Kama atatisha don’t trust Putin

Hapa wa Russia wana msemo wa

Ніколи не довіряйте людині на прізвище ПУТІН

Maana yake don’t ever trust Putin .

Ameahidi vingi na kuwaacha solemba

1. Aliwaambia Crimea watapata maisha bora baada ya kujitenga na UKRAINE 2014 Kumbe ni danganya Toto ameifanya Ngome yake ya Jeshi Kwa faida ya position ya Crimea kijiografia

2. Akasema hatagombea tena mwaka 2016 ndo mwisho wakaona anaweka jina

3. Akasema hana Mpango wa Kuvamia UKRAINE sasa kavamia

4. Akasema atakayeingilia vita atakiona cha mtema kuni, anamaliza kutangaza LITHUANIA wakapeleka msaada wa kijeshi, Estonia wakapeleka wakati hizi zimepakana naye kabisa , Kaufyata,

5. Akasema vitani hatumii watu wasio na ujuzi ila Lavlov kwenye Hotuba akaropoka kwamba kuna ambao walienda bila kuiva kimafunzo,

6. Kasema hatatumia silaha za kemikali Lakin wameona anatumia huko Mauripol,

7. Akasema kwamba Moskava iko habari zake za kuzama ni uzushi baadae. Imezama kweli

8. Kasema kwamba lazima audhurie Indonesia kwenye G20 , Lakin Ona sasa ameishia kuiota

Utamuamini huyu?

Britanicca
 
Sawa.
 
Akisema Russia ikiindolewa kwenye World Cup, hapakwepo na mashindano hayo Qatar...Jamaa anapenda mikwara yasiyo na logic hadi anaonekana tahira.

Huko Russia wananchi wake wapenzi wa michezo wanaangalia ugomvi wa kuku na Bata tu.
 
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo na Tanzania tunanunua Kwa bei kubwa Kwa sababu tunanunua kupitia nchi ya tatu.

Mkuu hii inaitwa uhaba wa hitaji kinachopatikana kichache wanaohitaji ni wengi hivo sasa kupata sasa hicho kinachohutajika ndo inakua kazi nzito na ndio kinapelekea bei kupanda na kama ikiendelea basi apo mwezi wa 9 tutakua nacheza na 6000.
 
Akisema Russia ikiindolewa kwenye World Cup, hapakwepo na mashindano hayo Qatar...Jamaa anapenda mikwara yasiyo na logic hadi anaonekana tahira.

Huko Russia wananchi wake wapenzi wa michezo wanaangalia ugomvi wa kuku na Bata tu.
Hana issue Jamaa ni mtu mmoja ambaye dishi linayumba
 
Hii ni story tu na kujitutumua kuona labda Kama atatisha don’t trust Putin

Hapa wa Russia wana msemo wa

Ніколи не довіряйте людині на прізвище ПУТІН

Maana yake don’t ever trust Putin .

Ameahidi vingi na kuwaacha solemba

1. Aliwaambia Crimea watapata maisha bora baada ya kujitenga na UKRAINE 2014 Kumbe ni danganya Toto ameifanya Ngome yake ya Jeshi Kwa faida ya position ya Crimea kijiografia

2. Akasema hatagombea tena mwaka 2016 ndo mwisho wakaona anaweka jina

3. Akasema hana Mpango wa Kuvamia UKRAINE sasa kavamia

4. Akasema atakayeingilia vita atakiona cha mtema kuni, anamaliza kutangaza LITHUANIA wakapeleka msaada wa kijeshi, Estonia wakapeleka wakati hizi zimepakana naye kabisa , Kaufyata,

5. Akasema vitani hatumii watu wasio na ujuzi ila Lavlov kwenye Hotuba akaropoka kwamba kuna ambao walienda bila kuiva kimafunzo,

6. Kasema hatatumia silaha za kemikali Lakin wameona anatumia huko Mauripol,

7. Akasema kwamba Moskava iko habari zake za kuzama ni uzushi baadae. Imezama kweli

8. Kasema kwamba lazima audhurie Indonesia kwenye G20 , Lakin Ona sasa ameishia kuiota

Utamuamini huyu?

Britanicca
Haya!
 
Akisema Russia ikiindolewa kwenye World Cup, hapakwepo na mashindano hayo Qatar...Jamaa anapenda mikwara yasiyo na logic hadi anaonekana tahira.

Huko Russia wananchi wake wapenzi wa michezo wanaangalia ugomvi wa kuku na Bata tu.

Nimeipenda hii nataka nikabishane kijiweni, unaweza nipa ushahidi kutoka maamlaka ya rais ukisema ayo maneno ili kijiweni wanikome?
 
Back
Top Bottom