Umoja wa Ulaya waipa Tanzania Msaada wa Billion 97.

Nimesikia bilioni 90 zimeenda Pemba na bilioni 7(saba)ndiyo zimeenda Tanganyika je,kunaukweli?
 
Sijasoma undani wahabari ,msizingue uchaguzi s/mtaa Sasa olewenu
 
Msaada wa Nini una bandari una reli ya sgr,
 
Msaada? Mkopo?
Ilani ya mikopo na madeni😆😆
 
Ni kwa ajili ya mradi gani?
 
Hizi ni pungufu ya zile serikali ilio tenga kwa ajili ya magari ya viongozi zilikuwa Bil ngap vile 100+
 
Nazo zitaliwa na Viongozi wataongeza idadi ya mabasi ya mikoani
Serikali ya Rais Samia ni safu na ndio maana inaendelea kuaminika na kuaminiwa na Nchi, taasisi, jumuiya na watu mbalimbali.ndio maana inapewa kipaombele kwa mambo mengi sana ,tofauti na ninyi Ma CHADEMA ambao Mmezoea kutafuna pesa za CHADEMA mpaka chama kimebaki mifupa mitupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…