Umoja wa Ulaya watishia Kuifungia Twitter, Snapchat na Tiktok endapo zitatumika kuhamasisha Machafuko Mtandaoni

Umoja wa Ulaya watishia Kuifungia Twitter, Snapchat na Tiktok endapo zitatumika kuhamasisha Machafuko Mtandaoni

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1689242408770.png
Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja wa Ulaya.

Kamishna wa Ndani Thierry Breton, amesema hayo wakati akijibu mahojiano ya redio ya Ufaransa kwa maoni ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu kufungia baadhi ya mitandao ya kijamii ili kuzuia ghasia.

Baadhi ya watu wamekosoa taarifa hiyo na kulinganisha suala hilo na hatua zinazoonekana katika mataifa yenye utawala mkali kama vile Uchina na Iran.

Breton amesema "Kuna wakati kunakuwa na maudhui ya chuki, maudhui ambayo yanahamasisha uasi, mauaji na uchomaji wa magari, Mitandao italazimika kufuta maudhui hayo mara moja,"

Kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Dijitali itakayoanza kutumika Agosti 25, 2023 itakuwa na Kanuni zinazoweka mahitaji mapya kwenye mitandao hiyo.

"Wakishindwa kufanya hivyo watawekewa vikwazo mara moja, tuna timu ambazo zinaweza kuingilia kati mara moja," Ikiwa hawatachukua hatua mara moja, basi ndio, kwa wakati huo tutaweza sio tu kutoza faini lakini pia kupiga marufuku uwepo wa majukwaa hayo kwenye eneo letu."

=============

Social media platforms like TikTok and Snapchat will face possible shutdowns when they don't crack down on problematic content during riots under the European Union's content law, Internal Commissioner Thierry Breton said Monday.

Breton, a French politician, was responding in a French radio interview to comments by French President Emmanuel Macron that floated closing down some social media to clamp down on riots. Some critics likened this to measures seen in authoritarian states like China and Iran.

"When there is hateful content, content that calls – for example – for revolt, that also calls for killing and burning of cars, they will be required to delete [the content] immediately," Breton said in the interview on France Info, citing the Digital Services Act which will impose new requirements on large platforms from August 25.

"If they fail to do so, they will be immediately sanctioned. We have teams who can intervene immediately," he said. "If they don't act immediately, then yes, at that point we'll be able not only to impose a fine but also to ban the operation [of the platforms] on our territory."

Nineteen very large online platforms including TikTok, Snapchat, Instagram and Twitter will have to comply with new legal obligations to limit the spread of illegal and harmful content from next month. Platforms with over 45 million users in the EU will also have to hand the Commission a first detailed assessment of their major risks for users. They risk potential fines of up to 6 percent of their global revenue.

Breton also said the Commission will carry out a "stress test" on TikTok next week to check how ready it is to comply with the new rules. Twitter has already done a test and Meta has agreed to be tested this month.

THE POLITICO
 
Waende pole, wameshindwa kufungia ROMEO, hao wengine wanawaonea tu.
 
Back
Top Bottom