Pre GE2025 Umoja wa vijana wasio na ajira Tanzania (UYAM) umesema kuwa ukosefu wa ajira ndiyo chanzo cha vijana kujihusisha na ku- bet

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Umoja wa Vijana Wasio na Ajira Tanzania (UYAM) hii leo umesema ukosefu wa ajira kwa vijana umepelekea baadhi yao kujiingiza katika ubashiri huku wengine wakiuza miili yao kama njia ya kujipatia kipato.

Lawrent Kayaya, Mwakilishi wa UYAM akizungumzia hilo
 
Si wanasema ku bet ni ajira 😄

Ova
 
Umoja wa Vijana Wasio na Ajira Tanzania (UYAM) hii leo umesema ukosefu wa ajira kwa vijana umepelekea baadhi yao kujiingiza katika ubashiri huku wengine wakiuza miili yao kama njia ya kujipatia kipato.

Lawrent Kayaya, Mwakilishi wa UYAM akizungumzia hilo
View attachment 3259672
Haswaa kunapambazuka kwa kasisanaa
 
Kama vijana wasio na ajira sasa wamefikia hatua ya kuwa na umoja wao (chama/jukwaa) naanza kukumbuka maneno ya Lowasa.
 
Umoja wa Vijana Wasio na Ajira Tanzania (UYAM) hii leo umesema ukosefu wa ajira kwa vijana umepelekea baadhi yao kujiingiza katika ubashiri huku wengine wakiuza miili yao kama njia ya kujipatia kipato.

Lawrent Kayaya, Mwakilishi wa UYAM akizungumzia hilo
View attachment 3259672
Kwahiyo na huyu watamkamata kwenda kumhoji
 
Mbona vijana wengi wanaobeti hawana elimu? Kuna bodaboda, bajaaj na wazembe wengine wengi tu. Kijana uliyesoma unakosaje shughuli ya kufanya nje na kuajiriwa kama si uzembe na uvivu?
 
UYAM ndio NETO au upuuzi gani tena huu? Basi kama wapo wapuuzi wengine wa aina hii wasio na ajira waunde shirikisho lao kudai maslahi yao ya kuajiriwa kama akili zao zimedumaa hazioni fursa zingine, wao wanaona kuajiriwa ndio fursa pekee maishani mwao!
 
hao UYAM waombe kujiunga NETO,...au ndo yatakuja yale ya Ukraine?...
 
Back
Top Bottom