Umoja wa Wachezaji wa Akiba wa Soka

Umoja wa Wachezaji wa Akiba wa Soka

kilimbamula

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
1,792
Reaction score
853
Umoja katika jamii yoyote ni muhimu sana kwa ajili ya kuwasilisha maoni na pia kusaidiana wanachama kwa hali na mali.

Nasi tunaanzisha umoja wetu, kwa kuanzia viongozi wetu wa muda watakuwa kama wafuatao

1. Haji Mwinyi - Yanga - Mwenyekiti
2. Ally Shomari - Simba - Mwenyekiti Msaidizi
3. Juma Abdul - Yanga - Katibu

Nawasilisha kwa mapendekezo zaidi katika kuboresha umoja huu.
 
Hivi Mnyate bado yupo simba?
 
Mwadini Ali kipa wa Azam naye apewe shavu
 
Umoja katika jamii yoyote ni muhimu sana kwa ajili ya kuwasilisha maoni na pia kusaidiana wanachama kwa hali na mali.

Nasi tunaanzisha umoja wetu, kwa kuanzia viongozi wetu wa muda watakuwa kama wafuatao

1. Haji Mwinyi - Yanga - Mwenyekiti
2. Ally Shomari - Simba - Mwenyekiti Msaidizi
3. Juma Abdul - Yanga - Katibu

Nawasilisha kwa mapendekezo zaidi katika kuboresha umoja huu.
Ahsante kwa kutufanya tucheke mkuu
 
Back
Top Bottom