Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Tanzania ni kisiwa cha AMANI NA UTULIVU duniani. Tukiharibikiwa hatuna pa kukimbilia - majirani zetu wote wako ktk maisha ya mshikaki.
Wakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakitangaza mfululizo habari za kuwepo maandamano kila mkulima nchini alipata wasiwasi juu ya matokeo ya maandamano iwapo yangefanyika nchini kwetu. Nasi viongozi wa Wakulima tuliwaondoa hofu na kuwataka wasiwe sehemu ya maandamano hayo halamu.
Kipekee niwashukuru POLISI Tanzania kwa kung'amua mapema VIASHIRIA vya AMANI kutoweka kupitia mipango mibovu ya CHADEMA kwa kauli fedhuli za Samia Must Go. Hizi ni kauli za dhihaka juu ya katiba yetu. Rais Samia yupo kikatiba - hivyo siku ikifika ataondoka kikatiba na si kwa njia ya Maandamano.
Police Tanzania, umoja wa Wakulima upo nanyi siku zote ktk kuimarisha na kudumisha UMOJA, AMANI NA MSHIKAMANO nchini.
Soma Pia:
Tanzania

- Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
- Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
Tanzania