Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

Vzr kuanzisha umoja wenu maana nyinyi wengi wenu mnajua mmeoa kumbe mmeolewa(Utemi.Uchoyo.Ubinafsi)vimetawala kwenye hizo ndoa za hao raia...
 
basi umekosa bahati mahsusi ya kuolewa na mimi..kingine nachowapendea wachaga wanajielewa sana, ukimuoa huwezi kubaki na umaskini,wanapenda vitu vizuri halafu wanajua kupika kama wasambaa

Wachaga wanajua kupika michemsho na nyama choma vitu vya kukaangiza 0. kwenye ubwabwa ndo -0
 
Hahahahahahaaaa, inabidi nijiunge asee. Ingawa naona umewatenga waliooa Kibosho, wenzetu pia wale
Wakibosho wanashida gani kwani...kuna Vitu vingine vilitokea Zamani kwenye hayo makabila lakini kutokana Na watu wa zamani kufa Na maendeleo katika makabila tajwa mambo mabaya ambayo Wanawake hao huisiwa wanayo asilimia Kubwa siyo kweli Na imebaki tu historia.
 
Chama cha udhaifu hicho matatizo ya ndoa muyaundie chama ndo akili gani sasa kila ndoa Ina matatizo yake
Hawa matatizo yao ni 'special'

Wanaangalia namna ndugu zao watapata chochote baada ya kurestishwa in peace...
 
Dah..mnaweweseka nini? Mbona K zao ni za kawaida tu......mwanamke hata awe na Pembe.....akigongwa vizuri huwa mpole sana na shikamoo nyiiingiiii [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…