Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

Vzr kuanzisha umoja wenu maana nyinyi wengi wenu mnajua mmeoa kumbe mmeolewa(Utemi.Uchoyo.Ubinafsi)vimetawala kwenye hizo ndoa za hao raia...
 
basi umekosa bahati mahsusi ya kuolewa na mimi..kingine nachowapendea wachaga wanajielewa sana, ukimuoa huwezi kubaki na umaskini,wanapenda vitu vizuri halafu wanajua kupika kama wasambaa

Wachaga wanajua kupika michemsho na nyama choma vitu vya kukaangiza 0. kwenye ubwabwa ndo -0
 
Hahahahahahaaaa, inabidi nijiunge asee. Ingawa naona umewatenga waliooa Kibosho, wenzetu pia wale
Wakibosho wanashida gani kwani...kuna Vitu vingine vilitokea Zamani kwenye hayo makabila lakini kutokana Na watu wa zamani kufa Na maendeleo katika makabila tajwa mambo mabaya ambayo Wanawake hao huisiwa wanayo asilimia Kubwa siyo kweli Na imebaki tu historia.
 
Dah..mnaweweseka nini? Mbona K zao ni za kawaida tu......mwanamke hata awe na Pembe.....akigongwa vizuri huwa mpole sana na shikamoo nyiiingiiii [emoji4]
 
Back
Top Bottom