Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

Kwa hiyo unatuambuaje sisi tuliooa wapalestina! They're great people, nyie tu na itikadi zenu.
 
WanaJF tuliooa maeneo tajwa (Machame & Mbeya-hususani KYELA) tunakusudia kwenda kuusajili Umoja wetu kama taasisi ya kutetea haki zetu pale inapotokea Kash-kash zozote katika ndoa zetu. Hivyo basi tunawaomba kwa umoja wetu tukutane tarehe 02/10/2016 (jumapili), pale SAMAKI-SAMAKI, MLIMANI CITY ili kuweza kupitia katiba yetu kifungu kwa kifungu kabla hatujapeleka kwa msajili. Asanteni,
Wenu Mtiifu;
(Signed)
0715143800
Katibu Mkuu (UMAMBE)
Ni wanaume tu, nadhani ingekuwa "Umoja wa Waliooa au Kuolewa Machame au Mbeya", wazo tu!
 
Tunaomba mrejesho mlipofikia ili kama kuna wengine wa kujiunga wajiunge.
 
Back
Top Bottom