Umoja wa wanaume bahili Tanzania (UWABATA)

Nafikiri tutafute makao makuu mapya sasa,mana Kule kwa mwanzo baa zlikiwa nyingi na zote zmefungwa kwa kukosa wateja,sema kule shida ilkuwa kelele sasa tutafute makao makuu ya kufikirika kwani tukisema tujenge nafkiri mnajua tutapoteza pesa nyingi sanaaaaaa,kadi ya uanachama bora iwe robo chupa ya maji Yale ya Lita moja ya mwaka 1972 pamoja na mia moja ya mwaka sabini na pia vlevle msisahau kunyoa vpara ili kupunguza gharama za sabuni na mafuta...kwani mafuta ya mgando au ya kupikia hayafai kupaka jamani ndugu zangu? Mana pesa tunatumia nyingi sana ya kununua mafuta, vikombe vya bati au chuma tuzidi kununua mana hivi vya mchina vnavunjika haviwez kudumu hata miaka hamsini jamani nyie mnaonaje ndugu zangu,tushirikiane ktk hili ili tufanikisha malengo yetu................by msafisha meza wa chama.
 
kuna hela naisikilizia hapa, nikiipata ndio nitabyolea kipara
 
Haahaa, Cheo Cha uweka hazina kipo wazi.....

Mkuu haina Budi uchukue hiyo nafasi...
 
Aliniomba vocha ya 500 nikafuta namba yake na kwenda kumshtaki police kwa kosa la kutaka kunitapeli.


Ndugu wajumbe naombe kula zenu kuwa mwenyekiti wa UWABATA.
Haahaa,
Umetisha mkuu...kura nyingi za ndiyo kwako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeh sanaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…