Umoja wa wanaume bahili Tanzania (UWABATA)

Kiukweli haraka za kikundi au muungano huu baadhi nakubaliana nao.

UWABATA NI NINI?
Ni umoja wa wanaume bahili Tanzania, ni kikundi kimeanzia FB kimasihara lakini kimekuwa gumzo kila kona.

Motto: KUNA HELA NAISKILIZIA
Yani kila utakachoombwa jibu linapaswa kuwa hilo, usiseme sina wewe mpe matumaini tu. Nimependa sana huo ubunifu.

Naomba kama kuna admin mmojawapo humu afungue uzi humu ila kusambaza na kutangaza hiyo kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…