Umoja wa wanaume bahili Tanzania (UWABATA)

Jamani mwenyekiti wa UBAWATA kanda za nyanda za juu kusini ndipo nafika leo makao makuu ya kanda yetu ili kuyaanza majukumu ya chama chetu tangu nichaguliwe na wanachama wenzangu.

Kiukweli nimetembea siku tatu kwa mguu toka mbeya hadi sumbawanga. Nashukuru kiporo nilichokuwa nimekibeba toka mbeya hadi sumbawanga ndicho nakipasha saizi ili kukimalizia. Maji nilikuwa nachota kwenye mito niliyokutana nayo njiani.
Kesho naingia ofsini rasmi. Mniombee[emoji16]
 
Soski moja imechanika sasa kununua pair naona no matumizi mabaya ya fadha bora nikatafute moja used kwa Tsh 300 ikizidi hapo bora niishone mwenyewe kwa mkono.
 
Kama nawaelewa vile, tafadhali mnisajili haraka na Mimi Babu yenu maana,maana nimechoka kuwajazia watu full tank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…