Umoja Wa Wanaume Tunatoa Tamko Hili Kwa Wanawake Woote..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea, na
kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala
hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio
neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga... next
time unaacha pichu, tena nyuma ya mlango... next time
unaacha hereni.. Next time gagulo... Hivi hii tabia mmepewa na
mganga yuleyule au ni vipi?Unaacha vikorombwezo
as if hao watu
wana kabati special ku-accomodate
miguo yako kwao... Eti madai yenu mnaacha alama ili
incase akiingia mtu mwingine akute...Nimetumwa niseme
hili, wamechoka kuficha vifaa vyenu maana inabidi
wanunue mabegi maalum kuficha madude
mnayojifanya mmeyasahau, kumbe makusudi
tu, waone kwanza!, mwishowe haya magheto
yanakuwa kama ya muuza mtumba, Vibanio, pichu,pajama, khanga, lipshine ,mawigi,
mwishowe
rafiki zetu wanaweza kudhani tumekuwa mashoga
sasa....Au wazazi wetu waje ghafla wakute Girls'
items, SIO HESHIMA....njoo salimia, beba
mikanga yako nenda nayo kwenu, sisi sio wauza
urembo!
 
Hahahaha, umesema yote mangi! Jana nilitoka job nikapita car wash moja hv nikakutana na jamaangu nikamuuliza vipi upo na Shemeji siku hizi???? Akaniambia alianza nguo moja moj juzi kati ametinga na begi kubwaaaa km la familia ya mtu nane, wajie makorokoro yao mkuu!!!!
 
Hahahah, wanaanzaga kidogo kidogo
 
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea, na
kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala
hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio
neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga... next
time unaacha pichu, tena nyuma ya mlango... next time
unaacha hereni.. Next time gagulo... Hivi hii tabia mmepewa na
mganga yuleyule au ni vipi?Unaacha vikorombwezo
as if hao watu
wana kabati special ku-accomodate
miguo yako kwao... Eti madai yenu mnaacha alama ili
incase akiingia mtu mwingine akute...Nimetumwa niseme
hili, wamechoka kuficha vifaa vyenu maana inabidi
wanunue mabegi maalum kuficha madude
mnayojifanya mmeyasahau, kumbe makusudi
tu, waone kwanza!, mwishowe haya magheto
yanakuwa kama ya muuza mtumba, Vibanio, pichu,pajama, khanga, lipshine ,mawigi,
mwishowe
rafiki zetu wanaweza kudhani tumekuwa mashoga
sasa....Au wazazi wetu waje ghafla wakute Girls'
items, SIO HESHIMA....njoo salimia, beba
mikanga yako nenda nayo kwenu, sisi sio wauza
urembo!

!
!
teh teh teh wakiendelea na huo ujinga wao basi tutawashusha kwenye viwanja vya guest na lodges mbalimbali.
 
Akijaribu kuacha ata ganda la vocha iliyotumika, simwachagi hivi hivi.Lazima arudi na kila alichokuja nacho....sasa nyie mnaoachiwa hadi pichu mna roho ngumu sana...kwangu hata unywele haubaki!
 
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea, na
kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala
hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio
neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga... next
time unaacha pichu, tena nyuma ya mlango... next time
unaacha hereni.. Next time gagulo... Hivi hii tabia mmepewa na
mganga yuleyule au ni vipi?Unaacha vikorombwezo
as if hao watu
wana kabati special ku-accomodate
miguo yako kwao... Eti madai yenu mnaacha alama ili
incase akiingia mtu mwingine akute...Nimetumwa niseme
hili, wamechoka kuficha vifaa vyenu maana inabidi
wanunue mabegi maalum kuficha madude
mnayojifanya mmeyasahau, kumbe makusudi
tu, waone kwanza!, mwishowe haya magheto
yanakuwa kama ya muuza mtumba, Vibanio, pichu,pajama, khanga, lipshine ,mawigi,
mwishowe
rafiki zetu wanaweza kudhani tumekuwa mashoga
sasa....Au wazazi wetu waje ghafla wakute Girls'
items, SIO HESHIMA....njoo salimia, beba
mikanga yako nenda nayo kwenu, sisi sio wauza
urembo!
Daaa mkuu kwa uzi wako wa leo umenifany nichek mno yaan ila kiukweli wanaboa binafs nimechoma yote mpk miwigi yak loh[emoji125]
 
Acha kukwapua mataputapu. ...mwanamke anayejiamini hawezi kufanya upuuzi huo...tafuta mwanamke mwenye kwake pia. ..acha kulilia kwa uchaguzi wako mwenyewe wa wanawake wenye inferiority complex. ..
 
Mataputapu????
Huo ujumbe nimepewa niulete tu, mi sihusiki
 
Daaa mkuu kwa uzi wako wa leo umenifany nichek mno yaan ila kiukweli wanaboa binafs nimechoma yote mpk miwigi yak loh[emoji125]
Duuuh, alidhani ghetto kwako ni dampo nini?? Hahha
 
Akijaribu kuacha ata ganda la vocha iliyotumika, simwachagi hivi hivi.Lazima arudi na kila alichokuja nacho....sasa nyi mnaoachiwa hadi pichu mna roho ngumu sana...kwangu hata unywele haubaki!
Mkuu huwa wanavizia sana,
yaani anaeza akasubiri umeenda toilet akaificha chini ya godoro
 
Back
Top Bottom