Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya kamwambie basi. ...asante sanaMataputapu????
Huo ujumbe nimepewa niulete tu, mi sihusiki
Haaaa... Hii mbona sana tuIla ku..ma mnataka??
Kwani si nimeifua?alokutuma uiloweshe nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaa STUNTER utawaua hawa dada zetu...waaache wapumzike kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mimi jana nimezitupa aseee mara night dress aaaaahhh sitaki ujinga mimi
Una roho ngumu sana duuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akijaribu kuacha ata ganda la vocha iliyotumika, simwachagi hivi hivi.Lazima arudi na kila alichokuja nacho....sasa nyi mnaoachiwa hadi pichu mna roho ngumu sana...kwangu hata unywele haubaki!
Duuh! Mkuu wewe kauzuAkijaribu kuacha ata ganda la vocha iliyotumika, simwachagi hivi hivi.Lazima arudi na kila alichokuja nacho....sasa nyi mnaoachiwa hadi pichu mna roho ngumu sana...kwangu hata unywele haubaki!
Ila alianza kuacha nini bro..Sasa yeye aache kitu gani tena wakati tunaishi pamoja???
Acha kukwapua mataputapu. ...mwanamke anayejiamini hawezi kufanya upuuzi huo...tafuta mwanamke mwenye kwake pia. ..acha kulilia kwa uchaguzi wako mwenyewe wa wanawake wenye inferiority complex. ..
Hahaha..eti chupi kwenye kona ya kitanda...najaribu kuvuta picha wakija wa4 means kila kona itakuwa na chupi yake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ila mimi naona wanawake wanaoacha vitu vyao kwa wanaume wao huwa hata hawajiamini, ni kama ionekane wao ndio top hata kama ataingia mwingine afahamu kwamba mwenyewe yupo uwiii...sasa swali je? utafahamu vipi kama wewe ndiye utakayekuwa future mother house...ndio had uache makorokoro ndani kwa mwenzio?![emoji32], ushamba tu huo. Tusijishushe thamani hivyo tubadilike mi ni mwanamke lakin hiyo tabia ni mbaya unakuta mwingine kaacha mkitana wake mkubwa wa kuchania weaving/wigi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], chupi kwenye kona ya kitanda, sidiria au kanga daaah baadhi ya girls wako cheap sana aisee [emoji40][emoji40][emoji40] mwisho wa siku anaolewa mwingineeeeee [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126].
Itakua siku haijamwendea vizuri...anajua haya mamboAsemayo ni kweliiii kabisa dadaaaa ila kama wewe ni mtulivu ndio utaona cha ajabu hiki
Yaana mtu anakuja kupafanya kwako kama store? aah! hiyo pichu nani afue? au iendelee kutema harufu ghetto?...tuacheni ushirikina wa kifikra wakuu😀😀😀😀Ila mimi naona wanawake wanaoacha vitu vyao kwa wanaume wao huwa hata hawajiamini, ni kama ionekane wao ndio top hata kama ataingia mwingine afahamu kwamba mwenyewe yupo uwiii...sasa swali je? utafahamu vipi kama wewe ndiye utakayekuwa future mother house...ndio had uache makorokoro ndani kwa mwenzio?!, ushamba tu huo. Tusijishushe thamani hivyo tubadilike mi ni mwanamke lakin hiyo tabia ni mbaya unakuta mwingine kaacha mkitana wake mkubwa wa kuchania weaving/wigi![]()
![]()
![]()
![]()
, chupi kwenye kona ya kitanda, sidiria au kanga daaah baadhi ya girls wako cheap sana aisee![]()
![]()
mwisho wa siku anaolewa mwingineeeeee![]()
![]()
![]()
.![]()
Duuh! Mkuu wewe kauzu
Hata za yule....naniiii hahahhaYaana mtu anakuja kupafanya kwako kama store? aah! hiyo pichu nani afue? au iendelee kutema harufu ghetto?...tuacheni ushirikina wa kifikra wakuu😀😀😀😀