Umoja Wa Wanaume Tunatoa Tamko Hili Kwa Wanawake Woote..!!

Hahaaaaa STUNTER utawaua hawa dada zetu...waaache wapumzike kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mimi jana nimezitupa aseee mara night dress aaaaahhh sitaki ujinga mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akijaribu kuacha ata ganda la vocha iliyotumika, simwachagi hivi hivi.Lazima arudi na kila alichokuja nacho....sasa nyi mnaoachiwa hadi pichu mna roho ngumu sana...kwangu hata unywele haubaki!
Una roho ngumu sana duuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akijaribu kuacha ata ganda la vocha iliyotumika, simwachagi hivi hivi.Lazima arudi na kila alichokuja nacho....sasa nyi mnaoachiwa hadi pichu mna roho ngumu sana...kwangu hata unywele haubaki!
Duuh! Mkuu wewe kauzu
 
Ila mimi naona wanawake wanaoacha vitu vyao kwa wanaume wao huwa hata hawajiamini, ni kama ionekane wao ndio top hata kama ataingia mwingine afahamu kwamba mwenyewe yupo uwiii...sasa swali je? utafahamu vipi kama wewe ndiye utakayekuwa future mother house...ndio had uache makorokoro ndani kwa mwenzio?![emoji32], ushamba tu huo. Tusijishushe thamani hivyo tubadilike mi ni mwanamke lakin hiyo tabia ni mbaya unakuta mwingine kaacha mkitana wake mkubwa wa kuchania weaving/wigi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], chupi kwenye kona ya kitanda, sidiria au kanga daaah baadhi ya girls wako cheap sana aisee [emoji40][emoji40][emoji40] mwisho wa siku anaolewa mwingineeeeee [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126].
 
Reactions: irk
Acha kukwapua mataputapu. ...mwanamke anayejiamini hawezi kufanya upuuzi huo...tafuta mwanamke mwenye kwake pia. ..acha kulilia kwa uchaguzi wako mwenyewe wa wanawake wenye inferiority complex. ..

Asemayo ni kweliiii kabisa dadaaaa ila kama wewe ni mtulivu ndio utaona cha ajabu hiki
 
Hahaha..eti chupi kwenye kona ya kitanda...najaribu kuvuta picha wakija wa4 means kila kona itakuwa na chupi yake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yaana mtu anakuja kupafanya kwako kama store? aah! hiyo pichu nani afue? au iendelee kutema harufu ghetto?...tuacheni ushirikina wa kifikra wakuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Duuh! Mkuu wewe kauzu
 
Yaana mtu anakuja kupafanya kwako kama store? aah! hiyo pichu nani afue? au iendelee kutema harufu ghetto?...tuacheni ushirikina wa kifikra wakuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hata za yule....naniiii hahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…