Umoja Wa Wanaume Tunatoa Tamko Hili Kwa Wanawake Woote..!!

eheeeeeeee!!! kama hampendi hayo magagulo yao peleka guest wayaache reception wahudumu wajifaidiepo
 
[emoji160]
ohooo jaman irk, mie nikiacha hizo sina shida maana ni wangu. kumbuka kasema katumwa na sio yeye. wamemtafuta mwanaume mwenye gats za kusema mambo wakamuomba awawakilishe.

please note that.

STUNTER unanisema mie? njoo huku tafadhali uwaondolee mashaka
 
Bae irk na Daby wanaujua ukweli, sema tu wanataka wakuzingue
 
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea, na
kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala
hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio
neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga... next
time unaacha pichu, tena nyuma ya mlango... next time
unaacha hereni.. Next time gagulo... Hivi hii tabia mmepewa na
mganga yuleyule au ni vipi?Unaacha vikorombwezo
as if hao watu
wana kabati special ku-accomodate
miguo yako kwao... Eti madai yenu mnaacha alama ili
incase akiingia mtu mwingine akute...Nimetumwa niseme
hili, wamechoka kuficha vifaa vyenu maana inabidi
wanunue mabegi maalum kuficha madude
mnayojifanya mmeyasahau, kumbe makusudi
tu, waone kwanza!, mwishowe haya magheto
yanakuwa kama ya muuza mtumba, Vibanio, pichu,pajama, khanga, lipshine ,mawigi,
mwishowe
rafiki zetu wanaweza kudhani tumekuwa mashoga
sasa....Au wazazi wetu waje ghafla wakute Girls'
items, SIO HESHIMA....njoo salimia, beba
mikanga yako nenda nayo kwenu, sisi sio wauza
urembo!

huwa nakukubali sana wewe ni SHABABI kwelikweli. unawachana live bila kubana pya
 
huwa nakukubali sana wewe ni SHABABI kwelikweli. unawachana live bila kubana pua
 
Pole sana Mkuu ila unaoneka umuasherati sana aisee maana unaandika umejiamini kabisa na uzoefu wa kutosha
 
Back
Top Bottom