PreGE2025 Umoja wanavyuo wa UVCCM: Mabadiliko yalifanyika katika tume ya taifa ya uchaguzi, inatupasa kushiriki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wanachama wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka katika vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam wamejitokeza na kubainisha mabadiliko yalifanyika katika tume ya taifa ya uchaguzi na kuwataka wananchi wote hususani vijana kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki kwenye uchaguzi mkuu 2025 ili kupata fursa ya kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi nchini.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Kukumbatia uchama imeturudisha nyuma kama taifa hata penye ukweli wanapindisha .. hayo maabdiliko ni yapi
 
Wanachama wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka katika vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam wamejitokeza na kubainisha mabadiliko yalifanyika katika tume ya taifa ya uchaguzi na kuwataka wananchi wote hususani vijana kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki kwenye uchaguzi mkuu 2025 ili kupata fursa ya kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi nchini.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa ni wanachama wa NETO wa baadae.
 
Akili za kishikiwa hizi. Halafu wanajiona wajaaaanja!
 
Back
Top Bottom