Wanachama wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka katika vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam wamejitokeza na kubainisha mabadiliko yalifanyika katika tume ya taifa ya uchaguzi na kuwataka wananchi wote hususani vijana kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki kwenye uchaguzi mkuu 2025 ili kupata fursa ya kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi nchini.