Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama ilivyo heading wana Jf wenzangu
Tuweke umri Elekezi wa mastaa wa bongo kama unavyowafahamu.
Tunaweza kuwakadiria kuanzia kwenye kazi zao zile za kitambo mpka sasa .

Lengo la Uzi huu ni kujua kwamba wangapi wanakaribia kwenye uzee maana Kila wakifanya sherehe za birthday zao huwa hawazidi miaka ishirini,

Wenyewe wanacheza kwenye 21 mpak 29 wengine ni wa kitambo tu lakini hawaongezeki miaka cjui wenzetu wanamashine za kusimamisha miaka.

Mimi naanza na Le_Madam Wema sepetu.
Nimeanza kumjua toka mwaka 2006 pale aliposhinda Taji la Miss Tanzania.

Kuanzia mwaka 2006 mpka sasa ni miaka 11. Na mashindano ya Miss Tanzania mshiriki anatakiwa awe na miaka kuanzia 18 mpaka 22. Kwa hiyo hapa nampa madam miaka 19 pale aliposhinda taji mwaka 2006.

Sasa basi toka mwaka 2006 mpaka sasa ni miaka 11 hivyo ukijumlisha na ile miaka 19 unapata miaka 30. Kwa hiyo umri elekezi wa Le _Madam wetu Wema sepetu mpaka sasa ni miaka 30. Inaweza kuzidi zaidi ya hapo ila haitaweza kupungua zaidi ya mwaka mmoja (1)....!

Weka na wewe umri elekezi wa star wa kibongo unayemfahamu...



 
Mie kutabiri kulishanishindaga mkuu,ngoja waje wajuvi wa mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…