Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Dudu baya anakaribia kuzeeka nae pia bila kumsahau Noorah na mr Nice wote wapo kwenye Age ya 35 to 40
 
Around 2003 alikuwa na kama 25 years. Fanya hisabati sasa
Mkuu utakuwa umemuonea 2003 mpaka sasa ni miaka 14 ukijumlisha na 25 unoata miaka 39

Kwa hiyo umri elekezi wa dada yetu lady jay dee ni miaka 39.

Miaka 3 zaidi kufikia monopouse [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu mungu anakuona kwa hiyo wema tayari ni Chuma Chakavu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najua siwezi kumpata Wema kwa sababu siwezi kufanya anasa za kumgharamia Wema lakini pia hizo fedha sina.

Pamoja na mapungufu yangu bado siwezi kumtamani Wema, ametumika mno.
Imagine Wema asingekua celebrity angekua kachoka kiasi gani? Ujue wanaume tunachakaza kinoma? Wema ni choka mbaya hata huko down sema makeup zinasaidia sana
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu muonee basi ata huruma kwa hiyo inawezekana ata papuchi anaipiga make up ili isionekane kama imezeeka
 
Apparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
Mange kazuia watu kufikri kabisa. Watu wanagopa hata kuwa acurate kwa fikra zao hadi wadokoe kwa mange. Tunasubiri afikiri ili tufikiri...... Hahahahhaaaaaa
 
Alipohojiwa na Millard Ayo alikuwa anajikanyaga huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara hoo nimemaliza form 4 2005 2007 2008 flani hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hapo anasema ameanza kuigiza 2008 movie ya Oprah baada ya kukacha form 5 na kukaa mtaani miaka 5 baada ya form 4 [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ukweli ni alimaliza darasa la 7 mwaka 2000
Wolper ni kama ana 32 hivi, lakini ukimuuliza atakwambia ana miaka 26
 
Mkuu umefatilia point zangu pale nilipomdertermine umri wake hawezi kuwa kwenye 26 ata kwa dawa kwa sababu kama alishiriki na kushinda miss Tanzania basi lazima alikuwa na miaka kuanzia 18 na hiyo ilikuwa mwaka 2006 .

Sasa kuanzia mwaka 2006 mpka leo ni miaka mingapi na kujumlisha hiyo ya Ushiriki ndio utapata umri wake..

Yani inasemekana kipindi hicho cha umisi alikuwa na miaka 11 [emoji23] alifanganya umri wake ili tuu ashiriki.. okey miaka 11 namoja natania ila mange alisema alikuwa sijui 16 kitu kama hicho.. walifanganya umri ili tuu ashiriki wakaongeza.. yani bia na vyakula nahisi na pombe pamoja na genetics ndo zimemzeesha sana wema anaonekana mkubwa kuliko pia alitumia sana cream kali and iam sure kuna list refu sana of why she looks sooo old
 
a685004f110a62c90bf17fc5cdd3e08a.jpg
 
Bongo ya enzi zile hapo ni uongo kwa umbo lile alikuwa above 18 au usikute alikuwa na miaka zaidi ya 20 .
 
Back
Top Bottom