Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
mkuu le mutuz last time i checked alikuwa na 60’s na hiyo ni miaka 2 imepita
Ila huyu wema huyu,siku nikipata pesa lazima ni date nae hata akiwa kasha zeeka
Kuna siku yule mwanae wa USA alimchana insta akasema amezaliwa 1963mkuu le mutuz last time i checked alikuwa na 60’s na hiyo ni miaka 2 imepita
Yvonne cherry 1980Monalisa huyu nae Umri umemtupa mkono nafikiri atakua kwenye 37
Juma Kassim born 1976Juma Nature kama hajasheherekea miaka 56 na Tanganyika basi atakuwa na 54 hivi.
Ally Kiba 1986Kwanza king kiba nae tusimsahau nae ni mkongwe sana anakaribia kwenye 35 to 40 yule maana siyo kwa kitambo kile cha sindelela
Hamis mwinjuma...born 1977 Ila kwenye passport inasema 1980I don't think so....nlimwacha form1 in 1994 mi nikiwa form 4...tanga tech
Assuming he was 14 au 15 then....sasa hivi he would be 14+23=37 au 38.
Joti anagonga 40 mwaka huu au mwakani,usiniulize kwa nini.
Source:Mimi mwenyewe.
Unaambiwa Juma Kaseja ana miaka 34 eti Ila kacheza ligi kuu kwa miaka 20 na alikuwa kashamaliza form four anatafuta credits ndio akaingia makongo na kutoboa kupitia mpiraBalaa lipo kwa wacheza mpira wa miguu