Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Uyu Nandy mzee wake niwaifanya nae kazi Sana Moshi "mzee mfinanga" sikuwai kujua kua yule Ni mwanae! ,Hadi mwaka juzi ndo ndolilifahamu ilo kwani nilipoteana nae muda yeye kwenda dar na Mimi TANGA.
Kuna siku yule mwanae wa USA alimchana insta akasema amezaliwa 1963
Hapi kwa Shamsa Ford hapi ngumu kumeza,yule anaonekana kala chumvi sana.
Amenona tu, umri wake huo.Hapi kwa Shamsa Ford hapi ngumu kumeza,yule anaonekana kala chumvi sana.