Hawa wapo clear taarifa zao za umri unaweza kuzi-access katika website ya bungeMuheshimiwa Sugu na Proffesor J hawa wako kwenye 45 to 50 kwa sasa wasituongopee aseee.
Around 2003 alikuwa na kama 25 years. Fanya hisabati sasaLady jay dee anakosa 40 kweli?
Mkuu utakuwa umemuonea 2003 mpaka sasa ni miaka 14 ukijumlisha na 25 unoata miaka 39Around 2003 alikuwa na kama 25 years. Fanya hisabati sasa
Ana watoto wangapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu mungu anakuona kwa hiyo wema tayari ni Chuma Chakavu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najua siwezi kumpata Wema kwa sababu siwezi kufanya anasa za kumgharamia Wema lakini pia hizo fedha sina.
Pamoja na mapungufu yangu bado siwezi kumtamani Wema, ametumika mno.
Imagine Wema asingekua celebrity angekua kachoka kiasi gani? Ujue wanaume tunachakaza kinoma? Wema ni choka mbaya hata huko down sema makeup zinasaidia sana
Mange kazuia watu kufikri kabisa. Watu wanagopa hata kuwa acurate kwa fikra zao hadi wadokoe kwa mange. Tunasubiri afikiri ili tufikiri...... HahahahhaaaaaaApparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
Wolper ni kama ana 32 hivi, lakini ukimuuliza atakwambia ana miaka 26
Mkuu umefatilia point zangu pale nilipomdertermine umri wake hawezi kuwa kwenye 26 ata kwa dawa kwa sababu kama alishiriki na kushinda miss Tanzania basi lazima alikuwa na miaka kuanzia 18 na hiyo ilikuwa mwaka 2006 .
Sasa kuanzia mwaka 2006 mpka leo ni miaka mingapi na kujumlisha hiyo ya Ushiriki ndio utapata umri wake..
Bongo ya enzi zile hapo ni uongo kwa umbo lile alikuwa above 18 au usikute alikuwa na miaka zaidi ya 20 .Yani inasemekana kipindi hicho cha umisi alikuwa na miaka 11 [emoji23] alifanganya umri wake ili tuu ashiriki.. okey miaka 11 namoja natania ila mange alisema alikuwa sijui 16 kitu kama hicho.. walifanganya umri ili tuu ashiriki wakaongeza.. yani bia na vyakula nahisi na pombe pamoja na genetics ndo zimemzeesha sana wema anaonekana mkubwa kuliko pia alitumia sana cream kali and iam sure kuna list refu sana of why she looks sooo old
Ukitaka kujua umri wake kama umeenda angalia vidole vya mikono. Lazima itakuwa imekomaaa mbayaBongo ya enzi zile hapo ni uongo kwa umbo lile alikuwa above 18 au usikute alikuwa na miaka zaidi ya 20 .