Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Kuna interview moja alisema kazaliwa 1988..pia naye aligombea umiss na kina wema akawa no 5,so 27 ni ngumu inamaana aligombea umiss akiwa na 16yrs
Kweli mkuu hawa mastar wa bongo wengi wanakaribia kuzeeka tu
 
Mimi ninacho jua Mastaa wazee kuliko wote (Bongo Fleva) ni Lady jay dee na mwenzie Vannesa Mdee..
 
Dokta Shika nae anategemea kusherehekea Birthday yake, anatimiza miaka 32...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]
 
Harmorapa ndio Ndoto zake hizo mkuu anazoota kila siku haujakosea ata kidogo
Amepotezwa kabisa na dk shika
Na hii ya babu seya na papii sijui kama atakuja rudi hata robo ya pale awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…