Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

651e71300873352e59018ce4b08920b9.jpg
 
Du mkuu hauna ata huruma unamkandamizia tu.
Nilimsikia akiongea kbsa ,,kilikua kipindi hiko Joyce kiria anatangaza kipindi kinaitwa bongo movie,,ray alisema wasanii wa zamani hawana mvuto,,ndo akawa anatokwa povu ,,akasema mi sa ivi Nina 37 lakini Niko km Nina 18 ,,,sidanganyi mkuu ,,
 
Kwa hiyo sasa hivi ana kama 47
 
Joti anagonga 40 mwaka huu au mwakani,usiniulize kwa nini.

Source:Mimi mwenyewe.
 
Nakumbuka kabisa mwaka juzi alikuwa na 67
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Joke aside just [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Le mutuz atakuwa na umri wa wastaafu yaani 60 yrs hakosi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Lulu bado young tu sema alikuwa star tangu mtoto
Nakumbuka mwaka 2011 au 2012 kwenye gazeti moja la udaku lulu alikuwa anasherehekea birthday ya miaka 18...but baada ya majanga ya kanumba akarudisha miaka nyuma hadi 17 ili kesi imuendee vizuri aonekane alikuwa anabakakwa... sasa jumlisha 18 ya 2011 hadi 2017 uone
 
Back
Top Bottom