GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mimi nadhani (maoni yangu) ni vizuri umkuze huku anajua. Yaani mwambie tangu akiwa mdogo. Hii itasaidia kumfanya asipate shock kubwa baade, hasa baada ya kujenga bond na wazazi wakeHii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua".
Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa kipindi chote alichoishi na wewe hakuwa mwanao wa kumzaa.
Ukisema umjulishe angali akiwa mdogo, alu naona ina unafuu, lakini sina uhakika juu ya umri sahihi.
Unafikiri umri sahihi ni miaka mingapi?
Alipokeaje taarifa hiyo mkuumim wangu nilimwambia ukweli kdogo kidogo kama utan...leo kidogo....kesho kutwa kidogo mpaka ikawa
YeahKwanini kwanza umwambie ukweli ikiwa labda hana ndugu wengine.. Si bora muishi tu mkisubiri kufa.
Africa should unite
kama hutambwambia wewe hakikisha mmoja kati ya ndugu zako watamwambia, au hata mfanyakazi wako atamwambia.Mimi nadhani (maoni yangu) ni vizuri umkuze huku anajua. Yaani mwambie tangu akiwa mdogo. Hii itasaidia kumfanya asipate shock kubwa baade, hasa baada ya kujenga bond na wazazi wake