Kuna shida inamkuta ndugu yangu wa karibu ana miaka arobaini na tano kwa sasa ila bado anaendele kupata hedhi, na alikaaga kwa muda wa miezi isiyopungua nane bila kupata hedhi lakini now imemrudia na isiyoeleweka.
Menopause inaanza 45yrs +++ lakini inatofautiana kutoka kwa mtu na mtu...na kuna wengine wanapatwa na hali kama uliyoitaja lakini itapotea tu taratibu!