Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwa nini hawa wanao itwa " celebrities " wa kibongo wanapenda kupunguza miaka yao?. Kisa nini? au ndio waonekane ni watoto wa dogo ambao wanafanya mambo makubwa?. Leo ninatoa miaka ya kuzaliwa ya baadhi ya celebrities wa kibongo vis vis miaka wanayo dai kuwa nayo.

Kabla sijaanza na celebrities wa kibongo, naomba nitoe mfano wa celebrity mmoja wa US aliye danganya umri. Huyu si mwingine, ni Beyonce Knowles. Alikuwa anasema amezaliwa mwaka 1982 but uchunguzi umebaini amezaliwa mwaka 1974. ( Nyaraka za clinic ambayo mama yake mzazi alikuwa akiattend plus nyaraka za mwaka na shule aliyo maliza high school zimethibitisha hilo) Source : How Old Is Beyonce? | Celeb Gossip, Celeb News and Celeb Pictures by I'm Not Obsessed

SASA NAKUJA KWA CELEBRITIES WA KIBONGO:

1. JUMA KASEJA...Anadai amezaliwa mwaka 1985. Mwaka 2000 alikuwa kipa namba moja wa timu ya Moro United, which means kwamba ameanza kucheza Ligi kuu Tz akiwa na miaka 14/15 ?

Kwa muonekano wake na rekodi zake, Juma Kaseja amezaliwa kati ya mwaka 1976 -1980.

2. BAMBO ( Mchekeshaji ): Miezi kadhaa kwenye kipindi cha watoto wetu cha ITV alisema amezaliwa mwaka 1985.. Nimeanza kumuona Bambo kwenye maigizo ya Kaole ITV mnamo mwaka 2000 ambapo alikuwa anaonekana mwanaume mwenye zaidi miaka 25. Kipindi Bambo alikuwa anaigiza kama Mganga wa kienyeji, na alikuwa akimtaka Nyamayao (kipindi hicho yeye pamoja na Kibakuli walikuwa na miaka 15 )
Kama Bambo anachosema ni kweli maana yake ni kwamba, mwaka 2000 wakati akiigiza Kaole kama Mganga wa kienyeji, alikuwa na umri wa miaka 15. Sio kweli.

Bambo atakuwa amezaliwa kati ya mwaka 1972 na 1976....

3. WEMA SEPETU : Mwaka jana kwenye BDAY ya Wema Sepetu, aliyekuwa msanii Diamond aliandika kwenye ukurasa wake wa face book, twitter na blogu yake HBD WISHES kwa wema akisema " HONGERA KWA KUFIKISHA MIAKA 22 ". Kama Diamond alikuwa sahihi, ina maana Wema Sepetu alizaliwa mwaka 1990, kitu ambacho sio sahihi kwa sababu zifuatazo ;

Wema Sepetu alitwaa taji la Miss Tz mwaka 2006. Under 18 hawaruhusiwi kushiriki shindano hili, hii ina maana wema slishiriki miss tz akiwa na miaka 16? no way?. Mnamo mwaka 2006 wema alinukuliwa na media mbalimbali akisema amezaliwa mwaka 1988( I ALSO DOUBT THIS ).( So miaka ya wema inabadilika kama matokeo ya kwenye cheti cha mwanafunzi anaye risiti mtihani au cheti cha angaza cha mzinzi ?)

Wema Sepetu amezaliwa kati ya mwaka 1985 - 1986.


4. LE Mutuz anaficha umri wake na ana jaribu kujutify kwamba yeye bado serengeti boy kwa ku behave immaturely. Chanzo makini kinatueleza ya kwamba, LE MUTUZ alizaliwa mnamo tarehe 16 DESEMBA 1961 , na baba yake alimpa jina la UHURU.


5. Diamond anasema amezaliwa mwaka 1989, lakini chanzo cha kuaminika kinasema, Diamond amezaliwa mwaka 1986.

6. MwanaFA anasema amezaliwa mwaka 1980. Chanzo cha kuaminika ( TENA SANA )kinasema mwana FA amezaliwa mwaka 1974.

HAO NI WACHACHE KWA LEO, NITAENDELEA KUWAJUZA KADRI NITAKAPOKUWA NIKIPATA NAFASI.

RAI YANGU KWENU NINYI MNAOJIPUNGUZIA MIAKA : MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMA, WAHESHIMU WAZAZI WAKO, ILI UPATE KUISHI MIAKA MINGI NA YENYE HERI DUNIANI. HII MAANA YAKE NI KWAMBA, MIAKA MINGI NI BARAKA! UNAPOJIPUNGUZIA MIAKA NI KUFURU KWA MUNGU! UNATAKIWA KUJIVUNIA UMRI WAKO! KUNA WATU WAMEKUFA BILA KUFIKISHA UMRI KAMA WAKO! BE PROUD OF YOURSELF!
 
Hawajifahamu, wapowapo tu, hata hawajui wameletwa duniani kwa makusudio gani.
 
ALAAFU wewe unaonekana unamtafuta Le Mutuz vipi kakutosa au kakupora bibi??????
 
Nsajigwa aka fuso

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ila Mwana FA utakuwa umemuonea sana....le mutuz nae ina maana ana 52 yrs???je dada ake Dr Mwele??sidhani..fifty bado may be 49
 
Ila Mwana FA utakuwa umemuonea sana....le mutuz nae ina maana ana 52 yrs???je dada ake Dr Mwele??sidhani..fifty bado may be 49
Mwana FA ni kweli kaka, kuna taarifa za ukweli sana kuhusu age ya mwanaFA kutoka chanzo makini na cha uhakika. Plse blv me on that
 
Mwana FA ni kweli kaka, kuna taarifa za ukweli sana kuhusu age ya mwanaFA kutoka chanzo makini na cha uhakika. Plse blv me on that

Unene wangu achana nao jali biashara zako ndio maana huwa anajishitukia sana
 
Hivi mtu unakataaje umri wako? Uzee haukwepeki, hata bibi nae alikua mwali! Ngoja waendelee kujiongopea..mwisho wa siku makunyazi usoni!
 
Back
Top Bottom