Umri na harakati zake hapa Tanzania

Umri na harakati zake hapa Tanzania

Nipo group G
Ila yote hayo bado maana napambana bado na kustaafu sitaki
Sina maradhi yoyote na Mungu anijaalie niendelee na afya njema

Shamba ndio
Acre 20 zinatosha kwa ufugaji na kustaafu ili nisiwasumbue wanangu maana tayari wana miji yao na wengine nimewakabidhi
Hongera sana
 
Back
Top Bottom