Hongera sanaNipo group G
Ila yote hayo bado maana napambana bado na kustaafu sitaki
Sina maradhi yoyote na Mungu anijaalie niendelee na afya njema
Shamba ndio
Acre 20 zinatosha kwa ufugaji na kustaafu ili nisiwasumbue wanangu maana tayari wana miji yao na wengine nimewakabidhi
[emoji1787][emoji1787] Nilijua utanikwepa auntie uniambia upo no C[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tupo wote Auntie..
Nawezaje kukimbia sasa....
Shunie unaona?Weeeh!! Mie sio mtoto mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]