Titus3652
Senior Member
- Mar 10, 2019
- 142
- 187
- Thread starter
- #21
nmekuelewa sana mkuu🙏"Pesa ya kujikimu mimi pamoja na familia yangu"
Wengi majibu yao huwa ya hivi, na hii huwa inasababishwa na ugumu wa maisha tunaopitia kwa muda mfupi hivyo kutufanya tuamini PESA ndiyo SULUHISHO.
Kuna mengi katika maisha. Jaribu kujiuliza ukishapata hizo pesa za KUJIKIMU, nini kingine zaidi ambacho utatamani kukikamilisha.
"PESA YA KUJIKIMU" , hii LAZIMA utapata. Fikiria zaidi What next after that.