umri sahihi ni upi wakuwa na maisha bora

nmekuelewa sana mkuu🙏
 
broo apo umeongea kitu nimekuelewa sana maana huwa na tatizo la kujifananisha na wengne kwamba nikiwa kama yule shida zitaisha anyways ahsante sana mkuu🙏
 
kwa sasa bado nasoma naamini mpka nikimaliza nitakua nimejua what next after that kutokana na mawazo yenu wakubwa zangu🙏
 
Kuanzia miaka miaka 0 unapozaliwa mkuu
 
Wazazi watengeneze maisha bora kabla hawajakutungisha,ukitungishwa na kuzaliwa uyakute maisha bora na mpaka unakua na kubalehe uwe na maisha bora.
hilo jambo ni zito kidogo kwa mfano wazaz wakiwa na hali duni ndo wasiweze kupata mtoto
 
hilo jambo ni zito kidogo kwa mfano wazaz wakiwa na hali duni ndo wasiweze kupata mtoto
Watafute kwa nguvu sana maana mtoto akilelewa mazingira duni hata darasani wanatusumbua kuazimaazima kalamu.
 
Hamna umri wa kuwa na maisha mazuri. Inategemea na malengo yako, utimizaji wako na ulimwengu utavyokupa (bahati au Mungu kwa waamini).

Endelea kupambana kwa uwezo wako na siku moja utafika pale unapotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…