Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?

Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?

Screenshot_20250206-174028~2.jpg
 
Naombeni Majibu Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi pamoja na -kupata mtoto

Nimeshajipata ,now Nina miaka 23 ,Nina kazi Serikalini, Nyumba, Elimu Japo kwa Msaada wa Wazazi
Ukifikisha Miaka 27, kama uko Vizuri Kiuchumi unaweza kuoa, ila Jua kabisa mke sio wa kumuamini sana, akipata mwenye uwezo zaidi yako anasepa, pia akipata ambae hisia zake zipo kwake, anampa Bure bila hata kumgaramikia so Kaa ukijua kua Kiumbe Mwanamke Hakitabiliki/ na hakuna mwanaume alie wahi kumuelewa mwanamke.
Ukiwaza Kujua sababu kwa Nini Yesu Hakuoa utakua umeweza kumuelewa Kiumbe Mwanamke.
 
Wewe Bado hujajipata..maaana ungejipata usingekua na sababu ya kuuliza umri Sahihi wa kuoa..
Natania tu mkuu ila kama una miaka 23 vumilia ufikishe ata 25 hivi..
Maana kwa umri wako mwanamke utakayemuoa atawai kuzeeka zaidi.
 
23 unakimbilia gereza la ndoa, huo mwili sasahivi unatakiwa ule shisha kwasasa na starehe za masaji, mitungi, disco nakula vizazi walau ukifika 27 ama 30 sasa hapo ingia gerezani sasa utakuwa umejifunza vingi kwa kiasi fulani!, kujifunza vingi itakusaidia experience ktk kuishi na hicho kiumbe chako nawatoto wako alasivyo hivyo vitoto vyako vikifikia balehe vikaanza kufanya starehe ambazo wewe hujawahi kuyaona au kuya experience vitakusumbua ufe!..🤣

ila zingatia afya!.
 
Wewe Bado hujajipata..maaana ungejipata usingekua na sababu ya kuuliza umri Sahihi wa kuoa..
Natania tu mkuu ila kama una miaka 23 vumilia ufikishe ata 25 hivi..
Maana kwa umri wako mwanamke utakayemuoa atawai kuzeeka zaidi.
Hakuna mwanamke anazeeka kwenye pesa
 
Umu wengi
Wewe Bado hujajipata..maaana ungejipata usingekua na sababu ya kuuliza umri Sahihi wa kuoa..
Natania tu mkuu ila kama una miaka 23 vumilia ufikishe ata 25 hivi..
Maana kwa umri wako mwanamke utakayemuoa atawai kuzeeka zaidi.
Umu wengi wanamafanikio so unapata ushauri
 
Siku ukiweza jitegemea kiakili, kiuchumi na kujua baba ni nani katika familia, hapo utaweza oa
 
Back
Top Bottom