skills man
Member
- Nov 10, 2024
- 89
- 236
Umri sahihi wa kuoa
Ukifikisha Miaka 27, kama uko Vizuri Kiuchumi unaweza kuoa, ila Jua kabisa mke sio wa kumuamini sana, akipata mwenye uwezo zaidi yako anasepa, pia akipata ambae hisia zake zipo kwake, anampa Bure bila hata kumgaramikia so Kaa ukijua kua Kiumbe Mwanamke Hakitabiliki/ na hakuna mwanaume alie wahi kumuelewa mwanamke.Naombeni Majibu Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi pamoja na -kupata mtoto
Nimeshajipata ,now Nina miaka 23 ,Nina kazi Serikalini, Nyumba, Elimu Japo kwa Msaada wa Wazazi
Hiyo picture ina majibu fungua akiliUmri sahihi wa kuoa
Hakuna mwanamke anazeeka kwenye pesaWewe Bado hujajipata..maaana ungejipata usingekua na sababu ya kuuliza umri Sahihi wa kuoa..
Natania tu mkuu ila kama una miaka 23 vumilia ufikishe ata 25 hivi..
Maana kwa umri wako mwanamke utakayemuoa atawai kuzeeka zaidi.
Umu wengi wanamafanikio so unapata ushauriWewe Bado hujajipata..maaana ungejipata usingekua na sababu ya kuuliza umri Sahihi wa kuoa..
Natania tu mkuu ila kama una miaka 23 vumilia ufikishe ata 25 hivi..
Maana kwa umri wako mwanamke utakayemuoa atawai kuzeeka zaidi.
Nina kazi mzuri tu alafu kwetu hatuna njaaKama una hitaji kazi zipo za kutosha..
Karibu kiwanda cha rasta hapa.mbagala rangi tatu mkuu
Nilijua jamii forum Kuna wasomiMiaka hamsini mkuu subiria kwanza.
Wapo ila ajira hakuna .Nilijua jamii forum Kuna wasomi
JichanganyeHakuna mwanamke anazeeka kwenye pesa
Shukran mkuuPiga maisha mpaka 28