Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

Ujumbe mzuri ngoja nichungulie inbox huenda Kuna mualiko πŸ˜€
 
Mamboo

Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri.

Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
Mwanamke akifika umri wa kuwa mtu mzima(miaka 18) na mwanaume akisimama kiuchumi
 
oa au olewa ukiwa tayari, hivyo vya umri ndo vinafanya watu waingie ndoani kwa presha na mihemko tu
Suala la utayari lipo kwa mwanaume tu, ambapo utayari wenyewe ni kusimama kiuchumi ili aweze kutoa ulinzi kwa familia yako. Sasa mwanamke ushavunja ungo utayari gani unaousubiri ili uolewe?, sababu ya "utayari" mnaitumiaga tu kama kisingizio ili msogeze muda mbele muweze kumalizana kwanza na ile partying and hoeing phase ambayo mnafikiri ndio mtindo wa maisha ya kisasa, mkishachakazwa na bad boys, ndio mnajifanya mapito yamewafundisha sasa mpo tayari ili muiwaingize mkenge nice guys.
 
Usimpoteze kwenye ramani bhn mapenzi hayampelekeshi mtu isipokua Haya mazingira unayoingia kwenye mapenzi je!yanaruhusu vitu vingine kua kwenye mstari Familia ni kitu muhimu sana huezi ishi kama Gobole siku zote
πŸ˜‚ Atulie mkuu, asitegemee kuolewa tu, hata kama ni kuolewa awe makini sana
 
Mamboo

Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri.

Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
Mwanaume umri mzuri wa kuoa ni kati ya 27-33 wengi wanakuwa na stable economy.The earlier the better ili ulee watoto ukiwa kijana.

Umri mzuri wa mwanamke kuolewa ni 24-27 hapo anakuwa amepevuka walau upumbavu umemuisha. The later the better.
 
Mamboo

Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri.

Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
Kwa mwanaume umri wowote, kwa mwanamke ni ngumu,sijawahi kusikia mwanamke anaamua kuolewa. Ila wapo wanawake wanao force kwa kujitolea mahali na kuandaa sherehe, ila mara nyingi ndoa huwaga zinavunjika.
 
Karudie kufanya research yako hamba vitu vinavyo ongozo kuvunja ndoa kama fedha na ma-ex.Binti ambaye mbichi kwanza anakuwa possibility kubwa ya kuwa na low body counts au bikra, pili hata matumizi yake sio makubwa,mara nyingi huwa ya msingi kwa mwanamke,halafu hata mind yake haijawa distracted na material things, unauwezo wa kumshape vizuri kiakili,kimtizamo na kuelewa visions zako ktk maisha ya ndoa na familia.Vile vile yupo tayari kusikiliza na kuongozwa.

Ila unakutana na binti 25+ ana possibility kubwa ya kuwa na lundo la ma-ex (high body count) kila kitu anajua style zote za ngono,ana lifestyle lake lilo mkuza,ana michezo mitatu kila mmoja majina matatu,vikoba viwili, bado hajavaa,hajala, mikopo kibao nk.Ukiuingia huu mziki ndoa ina chance ndogo ya kutoboa.

Ndio maana duniani kote, jamii zote hazijawahi kukutana,ila ukitizama vigezo vyao vinafanana kimoja wapo ambacho ni kikuu ni bikra walikuwa wana maana yao sana. Siku hizi bikra ngumu kuipata,ndio maana wanaangalia low body counts ni mojawapo ya sifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…