Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
amani kwenu wapendwa, JFer!
cheti changu cha std vii kimeandikwa nimezaliwa mwaka 1990 na vingine vyote vilivyo baki ni 1988,
nn kieanyike ili cheti kiwe na umri wa 1988?
nb. kikifuta hakitatambulika.
wako mtiifu Noniyang'waka
cheti changu cha std vii kimeandikwa nimezaliwa mwaka 1990 na vingine vyote vilivyo baki ni 1988,
nn kieanyike ili cheti kiwe na umri wa 1988?
nb. kikifuta hakitatambulika.
wako mtiifu Noniyang'waka