Umri wa cheti cha darasa la saba ni tofauti na vyeti vingine.

Umri wa cheti cha darasa la saba ni tofauti na vyeti vingine.

Statistics

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
3,666
Reaction score
7,788
amani kwenu wapendwa, JFer!
cheti changu cha std vii kimeandikwa nimezaliwa mwaka 1990 na vingine vyote vilivyo baki ni 1988,

nn kieanyike ili cheti kiwe na umri wa 1988?
nb. kikifuta hakitatambulika.

wako mtiifu Noniyang'waka
 
forgurery poisons socioeconomical development
 
amani kwenu wapendwa, JFer!
cheti changu cha std vii kimeandikwa nimezaliwa mwaka 1990 na vingine vyote vilivyo baki ni 1988,

nn kieanyike ili cheti kiwe na umri wa 1988?
nb. kikifuta hakitatambulika.

wako mtiifu Noniyang'waka

hili tatizo sana vyeti vingi vya shule za msingi wamekosea umri
 
usipate shida mkuu we kitumie hvo hvo ,sehem nyng hawahitaj hvo vyeti kiongoz lakin pia sion km kuna shda yoyote kamanda
 
Back
Top Bottom