S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,666 Reaction score 7,788 Apr 8, 2014 #1 amani kwenu wapendwa, JFer! cheti changu cha std vii kimeandikwa nimezaliwa mwaka 1990 na vingine vyote vilivyo baki ni 1988, nn kieanyike ili cheti kiwe na umri wa 1988? nb. kikifuta hakitatambulika. wako mtiifu Noniyang'waka
amani kwenu wapendwa, JFer! cheti changu cha std vii kimeandikwa nimezaliwa mwaka 1990 na vingine vyote vilivyo baki ni 1988, nn kieanyike ili cheti kiwe na umri wa 1988? nb. kikifuta hakitatambulika. wako mtiifu Noniyang'waka
B Baba Genovivah JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 756 Reaction score 249 Apr 8, 2014 #2 NONIYANG'WAKA said: amani kwenu wapendwa, JFer! cheti changu cha std vii kimeandikwa nimezaliwa mwaka 1990 na vingine vyote vilivyo baki ni 1988, nn kieanyike ili cheti kiwe na umri wa 1988? nb. kikifuta hakitatambulika. wako mtiifu Noniyang'waka Click to expand... forgurery poisons socioeconomical development
NONIYANG'WAKA said: amani kwenu wapendwa, JFer! cheti changu cha std vii kimeandikwa nimezaliwa mwaka 1990 na vingine vyote vilivyo baki ni 1988, nn kieanyike ili cheti kiwe na umri wa 1988? nb. kikifuta hakitatambulika. wako mtiifu Noniyang'waka Click to expand... forgurery poisons socioeconomical development
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,666 Reaction score 7,788 Apr 9, 2014 Thread starter #3 sijakuelewa boss! baba genocide
kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,995 Reaction score 2,572 Apr 9, 2014 #4 NONIYANG'WAKA said: amani kwenu wapendwa, JFer! cheti changu cha std vii kimeandikwa nimezaliwa mwaka 1990 na vingine vyote vilivyo baki ni 1988, nn kieanyike ili cheti kiwe na umri wa 1988? nb. kikifuta hakitatambulika. wako mtiifu Noniyang'waka Click to expand... hili tatizo sana vyeti vingi vya shule za msingi wamekosea umri
NONIYANG'WAKA said: amani kwenu wapendwa, JFer! cheti changu cha std vii kimeandikwa nimezaliwa mwaka 1990 na vingine vyote vilivyo baki ni 1988, nn kieanyike ili cheti kiwe na umri wa 1988? nb. kikifuta hakitatambulika. wako mtiifu Noniyang'waka Click to expand... hili tatizo sana vyeti vingi vya shule za msingi wamekosea umri
S shigegele JF-Expert Member Joined Mar 13, 2014 Posts 211 Reaction score 25 Apr 9, 2014 #5 usipate shida mkuu we kitumie hvo hvo ,sehem nyng hawahitaj hvo vyeti kiongoz lakin pia sion km kuna shda yoyote kamanda
usipate shida mkuu we kitumie hvo hvo ,sehem nyng hawahitaj hvo vyeti kiongoz lakin pia sion km kuna shda yoyote kamanda