ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu wadau wa soka Nina maswali mawili naomba mnisaidie
Kwanza Ni umri wa kagere mchezaji wa simba pili nataka nijue okwi ana muda gani toka aanze kucheza soka la hapa bongo
[emoji23][emoji23] kwamba bamdogo.kagere wanadai amezaliw mwaka 1986 mwez oktoba ila nna waswas nae huyu maana pale simba akna rashid juma wanamuita bamdogo
[emoji23][emoji23]Umri wa Okwi ni sawa na wa Wema Sepenga. Kagere ana miaka 26.
Yanga mtateseka sana ivi si nyie mlitaka kumsajili kagere Simba akawazidi speed kwanini usiulizie umri wa yondani au Kamsoko au babu Ngasa
Ni sahihi kumuita baba mdogokagere wanadai amezaliw mwaka 1986 mwez oktoba ila nna waswas nae huyu maana pale simba akna rashid juma wanamuita bamdogo
Boban umempunja umri mkuuShishimbi-38
yondani-37
ngassa-43
kaseke-40
tambwe-42
haruna moshi-47.
ASANTE KWA KUNIELEWA.
Sepetu ana 19?Umri wa Okwi ni sawa na wa Wema Sepenga. Kagere ana miaka 26.