Umri wa Kagere na miaka ya Okwi

Umri wa Kagere na miaka ya Okwi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu wadau wa soka Nina maswali mawili naomba mnisaidie.

Kwanza Ni umri wa kagere mchezaji wa simba pili nataka nijue okwi ana muda gani toka aanze kucheza soka la hapa bongo
 
Simba bingwa tena.
Wakuu wadau wa soka Nina maswali mawili naomba mnisaidie
Kwanza Ni umri wa kagere mchezaji wa simba pili nataka nijue okwi ana muda gani toka aanze kucheza soka la hapa bongo
 
Yanga mtateseka sana ivi si nyie mlitaka kumsajili kagere Simba akawazidi speed kwanini usiulizie umri wa yondani au Kamsoko au babu Ngasa

Mkuu,usijibizane na vichaa,wachore tu kwa wanavyojidhalilisha.

Ok let say ni wazee sana lakini wameifanyia mambo makubwa sana club yao,hilo si ni tusi kwa wachezaji wenye umri mdogo,kwamba inabidi wajitathmini,maana yake si ni kujitukanisha mwenyewe,kwa hiyo mkuu vitu vingine vinawadhalilidha na kufikirisha sana juu ya upeo wa hao wanaohoji umri bila kuangalia amefanya nn
 
Tumeliwa Sana
Tumechezewa Sana
Tumegongwa Sana
Vyovyote Mtakavyosema Lakini Mmenielewa
😁😂😂🤣😃😄😅
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Simba Bingwa
 
Kwa nijuavyo okwi au emosting kaja simba 2009 akitokea sports villa ya kwako Uganda na mwaka huo simba alichukua ubingwa bila kafungwa so mpaka Leo ana miaka 10 bongo acha zile za kwenda hapa na pale
 
Back
Top Bottom